PICHA ALIYOPIGA NAHODHA WA ZAMANI WA ENGLAND, DAVID BECKHAM NA MCHEZA MIELEKA NA MWIGIZAJI MAARUFU DWAYNE JOHNSON MAARUFU KAMA 'THE ROCK' ZIMEZUA MASWALI KAMA MWANASOKA HUYO ANATAKA KUINGIA KWENYE MIELEKA. HIVI KARIBUNI KULIKUWA NA TAARIFA KWAMBA BECKHAM ANATAKA KUJIKITA KWENYE UIGIZAJI NDANI YA HOLLYWOOD. |
0 COMMENTS:
Post a Comment