BEKI WA KUSHOTO WA MANCHESTER UNITED, PATRICE EVRA, RASMI AMEONDOKA KATIKA KLABU HIYO NA KUJIUNGA NA JUVENTUS YA ITALIA. EVRA RAIA WA UFARANSA ALIYECHEZA KWA MAFANIKIO MAKUBWA WAKATI WA KIPINDI CHA KOCHA ALEX FERGUSON AMBAYE AMESTAAFU, NI KATI YA MABEKI WA KUSHOTO AMBAO WAMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI ENGLAND.
MAKOMBE YAKE AKIWA UNITE
Premier League x5
Champions League x1
League Cups x3
Community Shield x5
Club World Cup x1
( MECHI 377 , MABAO 10 )
|
0 COMMENTS:
Post a Comment