Pamoja na Saad Kipanga wa Mbeya City
kusema anabaki Mbeya, Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema anamhitaji.
Washambuliaji hao wawili ndiyo
wanaonekana kumvutia zaidi Loga kwa Wazalendo.
“Kweli kocha amesema kuhusu Maguri na
Kipanga, bado suala linafanyiwa kazi,” kilieleza chanzo.
Kocha huyo anataka mshambuliaji mmoja
mzalendo na inaonekana ni kuziba nafasi ya Betram Mwombeki ambaye ametua JKT.
0 COMMENTS:
Post a Comment