Hatimaye kipa nyota wa Costa Rica, Keylor
Navas amefunguka kuhusiana na dili lake kwenda Real Madrid.
“Tuko katika hatua nzuri na mazungumzo
yanaendelea, hivyo nimekaa ninasubiri na sijasaini kokotr.
“Mambo yakienda vizuri kati ya Madrid na
Levante, basi nitahamia Madrid. Naendelea kusubiri,” alisema Navas.
Navas alikuwa mmoja wa makipa waliofanya
vizuri sana kwenye michuano ya Kombe la Dunia iliyomalizika siku chache
zilizopita nchini Brazil.
0 COMMENTS:
Post a Comment