Maximo raia wa Brazil amekuwa akifundisha
masuala kadhaa katika kikosi chake kama vile upigaji wa pasi nzuri za chini au
juu.
Kabla ya hapo, kocha huyo wa zamani wa
Taifa Stars alikuwa akiwapa wachezaji wake mazoezi magumu ya ufukweni.
Maximo kwa kushirikiana na msaidizi wake, Leonaldo Neiva wako katika maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Makocha hao wawili wamechukua nafasi ya Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi na Charles Boniface Mkwasa, mzalendo.
0 COMMENTS:
Post a Comment