SASA KAZI TU, LOGA ASAINI MKATABA MPYA SIMBA BAADA YA STORI ZA HAPA NA PALE, HATIMAYE LEO KOCHA ZDRAVKO LOGARUSIC AMESAINI MKATABA MPYA WA MWAKA MMOJA KUINOA SIMBA. LOGA AMESAINI MKATABA HUO MBELE YA MAKAMU WA RAIS WA SIMBA, GEOFREY NYANGE 'KABURU' NA BAADHI YA WAJUMBE AKIWEPO COLLINS FRISCH. ....SASA MAMBO SAFI.
0 COMMENTS:
Post a Comment