MILOVAN AMBAYE NI KOCHA MSAIDIZI WA TIMU YA TAIFA YA KISIWA CHA MYNAMAR, AMESEMA MAISHA YANAENDELEA VIZURI, KAZI YAKE IKO POA NA 'BATA' KAMA KAWA NAFASI INAPOPATIKANA. WAKATI AKIWA KOCHA WA SIMBA, MILOVAN ANA REKODI YA KUICHAPA YANGA MABAO 5-0 AMBAYO HADI LEO INAENDELEA KUISUMBUA KLABU HIYO YA JANGWANI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment