July 7, 2014

 Hull City imemnasa mshambuliaji kinda wa miaka 22, ambaye ni mtoto wa kiungo nyota wa zamani wa Manchester United, Paul Ince.


Tom Ince amesaidini mkataba wa miaka miwili na Hull City ambayo inanolewa na beki wa zamani wa Man United, Steve Bruce.

Awali ilielezwa kuwa angeenda Inter Milan ya Italia ambayo mazungumzo yalifikia pazuri, lakini mshambuliaji huyo aliyekuwa anakipiga Blackpool aliamua kubaki England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic