KOCHA MPYA WA MAN UNITED, LOUIS VAN GAAL, AEMEENDELEZA MAZOEZI YA TIMU HIYO NCHINI MAREKANI KWA UMAKINI MKUBWA NA IMEELEZWA WACHEZAJI HAO WAMEKUWA WAKIHENYESHWA IKIONYESHA MHOLANZI HUYO AMEPANIA WAWE FITI KWA ASILIMIA MIA KABLA YA KUANZA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment