|
Kikosi cha Simba kimeendelea kujiwinda visiwani Zanzibar chini ya Kocha Patrick 'Big' Phiri.
Kocha huyo raia wa Zambia, amekuwa akiwachezesha wachezaji wake gwaride la maana akisaidiana na Selemani matola.
Simba inajiandaa na Ligi Kuu Bara iliyopangwa kuanza Septemba 20.
Simba itaendelea kubaki visiwani humo ikijifua chini ya kocha huyo Mzambia.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment