August 19, 2014



 Bayern Munich walivunja ahadi waliyompa Kocha Pep Guardiola kwamba kiungo Toni Kroos hatouzwa.
Uongozi wa Bayern ulimuahidi Guardiola ambaye alisisitiza kiungo huyo ni muhimu sana.
Lakini mwisho ilishindikana, akauzwa kwa wababe wa Hispania, Real Madrid.
Pamoja na kuwa na Xabi Alonso ambaye ni mmoja wa viungo nyota, Madrid imemwaga mamilioni kumtwaa Kroos ambaye tayari ameanza kuonyesha cheche.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic