August 19, 2014



Mshambuliaji wa Besiktas ya Uturuki, Demba Ba na wenzake, wametengewa dau la pauni 850,000 ili waizamishe Arsenal ya Arsene Wenger.

Iwapo watashinda mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuwania kucheza hatua ya makundi, watakuwa wamejiweka safi kabla ya mechi ya marudiano itakayopigwa jijini London.
ARSENAL WAKIWA NJIANI KWENDA UTURUKI.

Tayari Arsenal wametua nchini Uturuki kwa ajili ya pambano hilo la leo na Ba aliyekuwa akikipiga Chelsea na wenzake wanajua kuhusiana na suala hilo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic