August 19, 2014

BUTOYI (KULIA) AKIMDHIBITI SSERUNKUMA KWENYE MICHUANO YA KAGAME JIJINI KIGALI, RWANDA.

Beki Hassan Butoyi raia wa Burundi anatarajia kutua leo mjini Zanzibar kuanza majaribio ya kutafuta nafasi Simba.

Butoyi anayekipiga katika kikosi cha Telecom ya Djibouti amekamilisha mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe.

Mazungumzo hayo yamefanyika mjini Kigali na sasa Butoyi anatua leo Zanzibar ambako Simba imeweka kambi chini ya Kocha Patrick Phiri.
Hata hivyo Simba imeshakamilisha wachezaji watano wa kimataifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic