August 18, 2014


Mwanariadha nyota wa Jamaica, Usain Bolt ameendelea kutesa katika mbio za mita 100 kushinda katika michuano ya Copa Cabana jijini Rio de Janeiro, Brazil, jana.


Bolt alishinda kwa sekunde 10.6 mbele ya wanariadha wengine nyota kama Mark Lewis Francis, American Wallace Spearmon na Brazilian Jefferson Liberato Lucindo.


Bolt, 27, alishangiliwa kwa nguvu na watu waliojazana kwenye ufukwe huo wakati akiondoka.
Ndiye mwanariadha anayeshikilia rekodi ya juu katika mita 100 ya sekunde 9.58.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic