August 19, 2014

  
PAWASA NA WENZAKE, MAZOEZI YANAENDELEA TAYARI KUWAVAA MADRID JUMAMOSI.

Wachezaji wakongwe nyota kutoka katika timu mbalimbali nchini wameanza kujifua kwa ajili ya mechi yao ya Jumamosi.

Wakongwe hao, watashuka dimbani kuwavaa wakongwe mbalimbali nyota wa Real Madrid.

Baadhi yao kama Louis Figo, Fernando Morientes, Michael Owen na wengine kivao.
Mechi hiyo ambayo kiingilio chake ni hadi Sh 5,000 tayari imekuwa gumzo.

Wakongwe hao wanajifua kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar chini ya Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa na msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
MKWASA NA JULIO WAKIJADILI JAMBO...

Baadhi ya wakongwe hao ni John Mwansasu, Abubakari Kombo, Mohammed Mwameja, Manyika Peter, Yusuf Macho, Iddi Moshi, Mtwa Kihwelo, Malota Soma, Kallimangonga Ongala, Madaraka Selemani na wengine kibao.



MACHO


KALI, SALUM SUED, ABUBAKARI KOMBO NA MOJA WAKIJADILI JAMBO MAZOEZINI KARUME.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic