Wajumbe Wenzawa Kamati ya Utendaji ya YANGA (Maendelo ya Mchezo), Ndugu
Seif Ahmed na Engineer Isaac Chanji, wanapenda kutoa taarifa kupitia vyombo vya
habari kuwa wanaYANGA, wameunda Kamati ndogo chini ya Kamati ya Utendaji ya
YANGA zifuatazo:
1) KAMATI YA UFUNDI
Wajumbe:
1) Duduma, Nassoro
2) Lamlembe, Roger
3) Malulu, Pascal
4) Msolla, Peter
5) Zangira, Steve
2) KAMATI YA SOKA YA VIJANA NA WANAWAKE
Wajumbe:
1) Katwila, Shaban
2) Kabisa, Jessica (Advocate)
3) Mazwile, Isack
4) Mwita, George
5) Tembele, Ally Mayay
3) KAMATI YA MASHINDANO
Wajumbe:
1) Cheyo, Magembe
2) Didi, Ibrahim
3) Hussein, Ndama Risasi
4) Katabalo, Moses
5) Katunzi, Mudhamiri
6) Kihanga, Pascal
7) Kingo, Ray Shauri
8) Kleb, Abdallah Bin
9) Luhago, David
10) Lukumay, Samwel
11) Macha, Innocent
12) Maige, Jackson
13) Mahende, Mugaya
14) Makay, Sule
15) Malebo, Michael
16) Malume, Paul
17) Matata
18) Mbise, Anandumi Timothy
19) Mlangwa, David
20) Mogha, John
21) Mutaboyerwa, Joseph John
22) Ntimizi, Said
23) Nyambaya, Lameck
24) Nyika, Hussein
25) Nyumbamkaly,
26) Ramadhan, Fulgence
27) Rashid, Ahmed
28) Suleman, Majid
29) Tenga, Frank
30) Tindwa, Beda
31) Zakaria, Dr.
Ifahamikekwamba,kutakuwananyongeza ya uteuzi wa Wajumbe wengine wa
Kamatiza YANGAzilizotajwahapojuu.
Ndugu Seif Ahmed na Engineer Isaac Chanji Wajumbe Wenza wa Kamati ya
Utendaji ya YANGA (Maendelo ya Mchezo) watakuwa Wenyekiti Wenza wa Kamati
zilizotajwa hapo juu.
Kamati ya Utendaji ya YANGA, ina karibisha Wajumbe waliotajwa katika
Kamati zilizotajwa hapo juu kwa dhamira njema kuwa watasaidia kujenga YANGA
bora, na wanaomba ushirikiano kutoka kwa wanaYanga wote ili Wajumbe
walioteuliwa waweze ketenda kazi zao vyema kwa manufaa ya YANGA.
(YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO)
(BENO NJOVU)
KATIBU MKUU WA YANGA
0 COMMENTS:
Post a Comment