Inawezekana
kabisa Man City hawana chao kwa kuwa mshambuliaji Ramadel Falcao ameeleza nia
yake ya kutua Real Madrid.
Alieleza
hilo kupitia mtandao wa jamii wa Instagram. Lakini baada ya muda mchache
akaitoa post hiyo.
Hali
ambayo imeonyesha uhamisho wake unaendelea kushughulikiwa.
Man
City ilikuwa inapambana kumpata Falcao ambaye anaendelea kuichezea AS Monaco ya
Ufaransa.
0 COMMENTS:
Post a Comment