XABI ALONSO AANZA KUFURAHIA MAISHA, BIA NA MAVAZI YA KIJERUMANI SASA NI MAISHA TOFAUTI KWA XABI ALONSO, SIO KIHISPANIA, SASA NI KIJERUMANI NDANI YA BAYERN MUNICH AMBAYO AMEJIUNGA NAYO AKITOKEA REAL MADRID. FRANK RIBERRY PEKEE NDIYE HATUMII 'KILAJI', SI UNAONA HAJAIBEBA.
0 COMMENTS:
Post a Comment