Liverpool imeonja tena makali ya Ligi Kuu England baada ya kufungwa bao 1-0 ikiwa nyumbani Anfield, leo.
Aston Villa ndiyo waliovuruga
shughuli ya leo baada ya bao hilo pekee lililofungwa na nahodha wake Gabriel
Agbonlahor.
Juhudi za Liverpool zaidi
ikimtumia Mario Balotelli, Coutinho na baadaye Raheem Sterling na Lambert
hazikuzaa matunda hadi mwisho.
0 COMMENTS:
Post a Comment