September 13, 2014


Washambuliaji wawili wa Barcelona, Lionel Messi na Neymar wameng'ara katika mechi dhidi ya Atletic Bilbao lakini zaidi kwa Neymar aliyepiga mabao mawili huku timu yao ikishinda 2-0.

Barcelona imeishinda Athletic Bilbao mabao 2-0 katika mechi ya La Liga leo.
Messi ndiye aliyetoa pasi kwa Neymar ambaye alifanya ajizi lakini akarudia tena na Mbrazil huyo hakufanya ajizi kuandika la pili.
Pointi hizo tatu muhimu zimewaweka kwenye nafasi nzuri kwa kuwa wanajua katika ya wapinzani Madrid na Atletico, mmoja akipoteza ni neema kwao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic