BALOTELLI HAISHI VITUKO, ONA ALIVYOVUA JEZI, BUKTA AKIWA MAZOEZINI! ETI ALIVUA HIVI KWA KUWA ALIKUWA ANAVAA VIZURI, HIVYO ALITAKA ACHOMEKEE...BALOTELLI WA INTER MILAN, MAN CITY, AC MILAN NA SASA LIVERPOOL, VITUKO PALEPALE TU! ILA JAMAA BURUDANI SANA.
0 COMMENTS:
Post a Comment