Baada ya kuvunjwa kwa mechi ya kirafiki ya
kimataifa dhidi ya Big Bullets ya Malawi, juhudi za kuipata Gor Mahia zilianza.
Lakini hadi hadi dakika 20 zilizopita
zimeeleza benchi la Gory a Kenya ambayo jana ilichapwa na Simba mabao 3-0, nayo
imegoma kucheza na Yanga.
Juhudi za kumshawishi kocha ambaye ni mpya
zimeshindikana kutokana na kipigo alichokipata jana.
Kutokana na hali hiyo, Kocha Mkuu wa Yanga,
Marcio Maximo ameamua kuvunja kambi.
“Kweli kambi imevunjwa na sasa ninazungumza
na wewe niko nyumbani,” alisema mmoja wa wachezaji wa Yanga.
Waandaaji wa mechi dhidi ya Yanga dhidi ya
Big Bullet ya Malawi, Chama cha Soka Tanzania (DRFA), hadi sasa bado hawajaweka
mambo hadharani kuhusiana na kuvunjwa kwa mechi hiyo.








0 COMMENTS:
Post a Comment