CHEKI MTIBWA SUGAR WALIVYOWASILI JAMHURI TAYARI KWA AJILI YA YANGA Mtibwa Sugar wako tayari kwa ajili ya Yanga leo, utaona walivyowasili kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakionyesha wako tayari kwa kazi. Wachezaji wake wengi walionekana kutulia, kutokuwa na hofu na tayari kwa mchezo huo. Cheki mwenyewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment