Mechi ya wapinzani wakubwa wa Hispania na jiji la
Madrid, Real Madrid na Atletico Madrid sasa ni mapumziko.
Kila timu ikiwa na bao moja, Atletico ndiyo
walianza kufunga na Madrid wakasawazisha kupitia Ronaldo.
Vikosi vya leo ni kama ifuatavyo.
MADRID: Casillas; Arbeloa, Ramos, Pepe,
Coentrao; Kroos, Modric, James Rodríguez; Bale, Cristiano, Benzema.
ATLETICO MADRID: Moyá;
Juanfran, Godín, Miranda, Siqueira; Gabi, Tiago, Koke, Raúl García; Raúl
Jiménez, Mandzukic.
0 COMMENTS:
Post a Comment