Mwandishi wa habari, Jerry
Muro ndiye atakuwa msemaji wa klabu ya Yanga.
Muro anatarajia kuanza kazi
ndani ya siku chache baada ya kumalizana na uongozi wa klabu hiyo.
Muro anachukua nafasi ya
Baraka Kizuguto ambaye sasa atakuwa akifanya kazi nyingine za klabu hiyo.
Muro aliwahi kufanya kazi
ITV kabla ya kuhamia TBC One na kupata mafanikio makubwa katika vipindi
alivyokuwa akiviendesha.
0 COMMENTS:
Post a Comment