Kiungo Cheick Tiote wa
Newcastle amefunga ndoa ya pili katika maisha yake.
Raia huyo wa Ivory Coast
amefunga ndoa na
Laeticia Doukrou,
inayoelezwa kuwa ya kijadi.
Tayari Tiote alifunga ndoa
yake ya kwanza na wife Madah mwenye umri wa miaka 25.
Tiote ana umri wa miaka 28,
analamba kitita cha pauni 45,000 kwa
wiki akiwa katika kikosi hicho cha St James' Park.
Yeye na mkewe Madah, wana
watoto wawili na wanaishi katika jumba la kifahari lenye thamani ya pauni
milioni 1.5.
0 COMMENTS:
Post a Comment