September 18, 2014




Messi amefikisha miaka 14 tokea alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13 akitokea kwao Argentina.

Mkali huyo ambaye sasa ana umri wa miaka 27, amesherekea miaka hiyo 14 mtandaoni kwa kuweka picha ya kitambulisho chake cha kwanza kabisa Hispania.
Pamoja naye, klabu yake pia iliweka kitambulisho hicho mtandaoni kama kumbukumbu.
Tayari Messi ameichezea Barcelona mechi 460 na kushinda makombe sita ya La Liga, mawili ya Copa de Rey, sita ya Spanish Cup na matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Angalia data zake

Mechi: 460
Mabao: 367
Makombe:
 Spanish League (La Liga): 6  
Spanish Cup (Copa del Rey): 2 
Spanish Supercup: 6
Champions League: 3
FIFA Club World Cup: 2  
UEFA Super Cup: 2
Ballon d'Or: 4 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic