Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya QPR ukiwa ndiyo ushindi wake wa kwanza wa Ligi Kuu England, Kocha Louis van Gaal wa Man United aliamua kumfurahisha mkewe.
Van
Gaal alimtoa mkewe kwenye mgahawa mmoja maarufu wa jiji la Manchester kwa ajili
ya chakula cha mchana.
Mkewe
alikuwa anasherekea siku yake ya kuzaliwa, lakini ilipita siku moja kabla na
mumewe alikuwa ‘bize’.
Baada
ya ushindi huo, alikuwa huru pia kuhakikisha mkewe naye anafurahi.
0 COMMENTS:
Post a Comment