Liverpool
inakaribia kupata ruksa ya kuanza ujenzi wa kuuongeza ukubwa uwanja wake wa wa
Anfield.
Uwanja
huo mkongwe unatarajiwa kuongezwa kutoka watu 44,000 wanaoingia sasa hadi
54,000.
Ruksa
hiyo inatakiwa kutolewa na kitengo cha usanifu wa majengo ndani ya Manispaa ya
jiji la Liverpool.
Imeelezwa
hadi kufikia Septemba 23, Manispaa ya jiji kupitia kitengo hicho itakuwa imetoa
“go ahead”.
Iwapo
itapata ruksa, imeelezwa Liverpool itaanza kazi ya ujenzi kati ya Desemba mwaka
huu na Januari, mwakani.
0 COMMENTS:
Post a Comment