Cristiano Ronaldo amefunguka na kusema yuko
tayari kutua Manchester United au Chelsea lakini anahitaji kulipwa mshahara wa
pauni 500,000 kwa wiki.
Usisahau Man United ikiwa chini ya Alex Ferguson
ilikubali kumuachia Ronaldo aende kwa kuwa ilishindwa kumlipa paumi 350,000 kwa
wiki.
Tayari wamiliki wa Man United wamemwaga
mamilioni kwa
Wayne Rooney ambaye sasa atakuwa anapata pauni 300,000
kwa wiki ikiwa ni baada ya kuanza kumlipa Ramadal Falcao pauni 390,000 kwa
wiki.
Swali linabaki kama ni kweli Chelsea au Man
United zitakuwa tayari kutoa kitita hicho.
0 COMMENTS:
Post a Comment