Kiungo Sami Khedira
wa Real Madrid atakuwa nje ya uwanja kwa wiki sita.
Mjerumani huyo ni
majeruhi baada ya kuumia ‘kiazi’ cha mguu wake wa kushoto.
Daktari wa Real
Madrid amesema atakuwa nje ya uwanja kwa wiki sita, maana yake atarejea
uwanjani katikati ya mwezi Oktoba.
Hivi karibuni
kulikuwa na taarifa kwamba Khedira ana mpango wa kujiunga na Arsenal, lakini
mwishoni Madrid ilieleza kuwa bado inamhitaji.
0 COMMENTS:
Post a Comment