SUAREZ AREJEA LIVERPOOL, AMPELEKEA ZAWADI GERRARD Wakati leo dirisha la usajili linafungwa, Luis Suarez amerejea Liverpool wakati wenzake wakiwa mazoezini. Suarez ‘27’ amerejea akiwa na zawadi mkononi, jezi namba 7 ambayo anaitumia kwenye klabu yake mpya ya Barcelona. Jezi hiyo ameikabidhi kwa nahodha wake wa zamani, Steven Gerrard ambaye aliichukua na kuitupia picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
0 COMMENTS:
Post a Comment