Arsenal imejitutumua na kuibuka na ushindi
wa mabao 2-1 ikiwa ugenini katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Arsenal imeichapa Anderletch ya Ubelgiji
katika mechi hiyo iliyoonekana itaisha kwa wenyeji kushinda lakini Arsenal
ikafunga mabao mawili katika dakika mbili.
Keran Gibbs alifunga bao la kusawazisha
katika dakika ya 89, kabla ya Lukas Podolski kufunga la pili katika dakika ya
90.
0 COMMENTS:
Post a Comment