MKE, WATOTO WA ROONEY 'WAPIGA BATA' YA KUTOSHA NCHINI BARBADOS MKE WA MSHAMBULIAJI WA MAN UNITED, COLEEN, AKILA RAHA NCHINI BARBADOS PAMOJA NA WANAYE WAWILI. KWA SASA KEANE HAITUMIKII MAN UNITED KUTOKANA NA KUTUMIKIA ADHABU YA KADI NYEKUNDU, HATA HIVYO HAKUUNGANA NA FAMILIA YAKE NCHINI HUMO.
0 COMMENTS:
Post a Comment