October 22, 2014

RONALDO NA MATANGAZO YAKE AMBAYO YANAMUINGIZIA PAUNI MILIONI 26.5 KWA MWAKA. LAKINI UKIJUMLISHA NA MSHAHARA WAKE BAADA YA KODI LAKINI KABLA HAJAPATA BONAS AMBAO NI PAUNI MILIONI 15, JUMLA ANAKUWA ANAINGIZA PAUNI MILIONI 41.5 KWA MWAKA.
KUTOKANA NA FEDHA ANAZOINGIZA KWENYE MATANAGZO, PAUNI MILIONI 26.5, ZINAMFANYA RONALDO KUWA KWENYE KUNDI LA WACHEZAJI MATAJIRI AU WANAOINGIZA FEDHA NYINGI ZAIDI KWA MWAKA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic