Mechi ya kirafiki kati ya Brazil dhidi ya Argentina maarufu kama Super Classico mjini Beijing, China ilimalizika kwa Brazil kushinda kwa mabao 2-0.
Yote mawili yalifungwa na mshambuliaji Tardelli Diego na kuamsha matumaini mapya kwa Brazil chini ya Dunga ikishinda mfululizo.
Kipigo cha mabao 7-1 kutoka kwa Ujerumani, kimekuwa kovu kubwa lakini tokea timu ichukuliwe na Dunga, taratibu imeanza kurudisha matumaini na ushindi dhidi ya Brazil, umeifanya timu iamshe matumaini ya maisha mapya ya Brazil.
VIKOSI:
Brazil: Jefferson, Danilo, Miranda, David Luiz, Filipe Luis, Willian, Luiz Gustavo, Elias, Oscar, Diego Tardelli (Kaka 82'), Neymar (c) (Robinho 90').
Subs not
used: Cabral,
Grohe, Romulo, Souza, Juan, Gil, Dodo, Mario Fernandes, Everton Ribero,
Coutinho.
Goals: Tardelli 28, 64
Argentina: Romero, Zabaleta, Demichelis, Federico
Fernandez, Rojo, Pereyra (Perez 76'), Mascherano, Lamela (Pastore 61'), Di
Maria, Messi (c), Aguero (Higuain 61').
Subs not
used: Marchesin,
Guzman, Vergini, Otamendi, Roncaglia, Vangioni, Gago, Gaitan, Banega.
0 COMMENTS:
Post a Comment