Baada ya kipa wa zamani wa
Barcelona kugoma kufanya majaribio Liverpool, sasa Manchester United imeanza
mazungumzo naye ili ikiwezekana atue Old Trafford.
Victor Valdes ,32, aligoma
kufanya majaribio ya siku nne kama Liverpool walivyokuwa wametaka.
Lakini Man United kupitia
kocha wake, Louis van Gaal wameanza naye mazungumzo.
Kipa huyo aliyechwa na
Barcelona sasa yuko huru hivyo haitakuwa gharama kubwa kumpata.
Na kama atakubali kujiunga
na Man United, timu ya tiba ya klabu hiyo ndiyo itaendelea kumsimamia hadi
atakapokuwa fiti kiafya.
0 COMMENTS:
Post a Comment