Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Idd Pazi,
amefunguka kuwa yupo tayari kutua Ndanda FC iwapo watamhitaji kwa kuwa ukocha
ndiyo kazi yake inayomuweka mjini.
Kocha huyo ambaye alikuwa akiinoa Simba,
amesema baada ya kuachwa na klabu hiyo, bado anatamani kuendelea kufundisha na
kama Ndanda watamfuata yupo tayari kuchukua fursa hiyo.
“Kazi yangu ni ukocha na iwapo Ndanda
watanifuata na kunitaka nikaifundishe timu yao, nipo tayari,” alisema Pazi.
Tayari nafasi ya Pazi imechukuliwa na, Zdravko
Djekic Mzungu kutoka Serbia.
Hata hivyo, kipa huyo wa zamani wa Simba.
0 COMMENTS:
Post a Comment