BRUCE. |
Kocha Steve Bruce wa Hull
City aliwashangaza wengi baada ya kupanda treni na kushika bomba.
Bruce alifanya hivyo dakika
chache baada ya Hull City kutoka sare ya mabao 2-2 huku Danny Welbeck akiwa
amesawazisha katika dakika ya 90.
SAM ALLARDYCE. |
Baada ya hapo, Bruce ambaye
ni nahodha wa zamani wa Man United, alikwea treni kwa safari ya Manchester.
Alikuwa akiwahi Manchester
kutokana na mwaliko wa sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa kocha mkongwe na maarufu
nchini England, Sam Allardyce.
Allardyce ambaye alikuwa anafikisha miaka 60 sasa anainoa West Ham United.
0 COMMENTS:
Post a Comment