Kocha wa Yanga, Marcio
Maximo ametoa mapumziko ya siku mbili kwa wachezaji wake.
Wachezaji wa Yanga sasa
wataanza mazoezi keshokutwa Jumanne kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya
Loyola, Mabibo jijini Dar.
Mechi yake ya mwisho, Yanga
imetoka sare ya bila kufungana na watani wao Simba.
Tayari Yanga ina pointi
saba baada ya kucheza mechi nne ikiwa imeshinda mbili, sare moja na kupoteza
moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment