October 19, 2014


JKT Ruvu imeibuka na ushindi ambao ni wa kwanza kwake msimu huu baada ya kuichapa Prisons ya Mbeya kwa mabao 2-1.



Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, kila timu ilipambana lakini mwisho JKT ikaibuka na ushindi.

Umekuwa ni ushindi wake wa kwanza baada ya kuanza kwa sare ya bila kufunga dhidi ya Mbeya City, halafu ikafungwa mara mbili mfululizo dhidi ya Kagera Sugar na Yanga.
Kikosi hicho chini ya Fred Felix Minziro sasa kimeweka rekodi ya kutofungwa Sokoine msimu huu.
Kwa mechi dhidi ya Mbeya City iliyomalizika kwa su

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic