Floyd Mayweather ameendelea
kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kutundika picha nyingine mtandaoni akihesabu ‘mahela’.
Bondia huyo ameishapigana
mapambano 47 bila ya kupoteza hata moja, lakini baba yake mzazi amesisitiza,
lazima pambano linalofuata litakuwa dhidi ya Manny Pacquiao.
Floyd amesema pambano kati
ya mwanaye na Pacquiao litakuwa mwakani, lakini hakusema tarehe.
Linatarajiwa kuwa ndiyo
pambano ghali zaidi kwa kuwa litagharimu hadi dola milioni 300.
0 COMMENTS:
Post a Comment