Mshambuliaji Luis Suarez wa Barcelona amerudi uwanjani rasmi baada ya kuichezea Uruguay katika mechi ya kirafiki dhidi ya Saudi Arabia.
Ikiwa ugenini, Uruguay imefanikiwa kupata sare ya mabao 1-1, huku wenyeji wakifunga la kwao pia kujifuga na kuipa Uruguay sare hiyo.
Suarez alikuwa anatumikia adhabu ya Fifa baada ya kumng'ata beki wa Italia Giorgio Chiellini wakati wa Kombe la Dunia nchini Brazil.
TAKWIMU ZA MCHEZO:
Saudi Arabia: Abdullah, Omar Hawsawi, Al-Harbi, Osama Hawsawi, Al-Zori, Hassan Fallatah, Bakhshwain, Al-Shehri, Al-Dossari, Al-Bassas, Al-Shamrani
Subs: Al-Qarni, Hazazi, Al-Faraj, Al-Sharahill, Assiri, Khariri,
Al-JassIm, Al-Muwallad, Mukhtar Fallatah, Al-Shahrani, Motaz Hawsawi, Ghani,
Al-Maiouf, Al-Enazi
Bookings: Al-Bassas, Bakshwin
Goals: Hazazi (90)
Uruguay: Muslera, Maxi Pereira, Gimenez, Velazquez, Corujo, Pereira,
Arevalo Rios, Lodeiro, Cristian Rodriguez, Jonathan Rodriguez, Suarez
Subs: Martin Silva, Godin, Mayada, Hernandez, De Arrascaeta, Stuani,
Gaston Silva, Ramirez, Arismendi, Rolan
Bookings: Corujo
Goals: Fallatah (OG, 47).
0 COMMENTS:
Post a Comment