Kikosi cha Yanga kimetua mjini Dodoma, tayari kwa mechi
moja ya kirafiki.
Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto amesema watacheza mechi
moja dhidi ya CDA kabla ya kuendelea kwenda Shinyanga kuivaa Stand United.
“Tumefika salama, tunashukuru hakuna majeruhi na leo jioni
tutakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya CDA.
“Halafu kesho tutaendelea na safaru ya masaa sita kwenda
Shinyanga kucheza na Stand,” alisema Kizuguto.
CDA zilikuwa moja ya timu kongwe nchini lakini baadaye
ikapoteza mwelekeo.
0 COMMENTS:
Post a Comment