Wachezaji wa Barcelona wamefunga nane ya kimataifa na kutuma
salamu kwa Real Madrid.
Washambuliaji hao wote watacheza katika mechi dhidi ya Real Madrid
ambao ni Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez.
Neymar ambaye ni nahodha wa Brazil, amefunga mabao manne wakati
timu hiyo ilipoigonga Brazil mabao 4-0.
Wakati Messi naye amefunga mabao mawili katika mechi ya kirafiki
dhidi ya Hong Kong.
KWa upande wa Suarez akiwa na Uruguay naye amepiga mbili
ilipoichapa Oman mabao 3-0.
Hizo ni salamu tosha kuwa fowadi hiyo ni kali na Real Madrid ambao
watakutana nao.








0 COMMENTS:
Post a Comment