SIKU CHACHE BAADA YA NDEVU ZAKE KUWA GUMZO, KEANE 'AZICHAKAZA' Siku chache baada ya ndevu zake kuwa gumzo kwenye soka, Kocha Msaidizi wa Aston Villa, ameamua kuzinyoa ndevu hizo. Keane ametupia picha mtandaoni dakika chache baada ya kuzinyoa ndevu hizo zilizokuwa zinafananishwa na Rais wa zamani wa Iraq, Saadam Hussein. MUONEKANO KABLA YA KUNYOA.
0 COMMENTS:
Post a Comment