Pamoja na kwamba hajapata
nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza na wenzake wa Barcelona, mshambuliaji Luis
Suarez amepata nafasi nyingine ya kufanya nao kazi pamoja.
Suarez amefanya tangazo la
suruali za jeans zinazotengenezwa kwenye nembo ya Replay's Hyperflex.
![]() |
| PIQUE&INIESTA |
Katika tangazo hilo
amashirikiana na Neymar, Gerard Pique pamoja na Iniesta pamoja wanamitindo wa kike.
Suarez ambaye alijiunga na
Barca akitokea Liverpool, bado anatumikia adhabu ya Fifa kutokana na kumuuma
beki wa Italia, Giorgio Chiellini wakati wa Kombe la Dunia.
| NEYMAR. |
![]() |
| MWANAMITINDO. |









0 COMMENTS:
Post a Comment