Mshambuliaji
Luis Suarez ameshindwa kuficha furaha yake kwa kuwa zimebaki siku chache kabla
hajaanza kuitumikia Barcelona.
Lakini
pia akaeleza wazi kuwa anataka kucheza soka ahdi kustaafu akiwa na Barcelona.
Suarez
ataanza kuichezea Barcelona Jumamosi katika mechi ngumu dhidi ya Real Madrid.
Mechi
hiyo maarufu kama El Clasico itakuwa ya kwanza kwa Suarez akirejea uwanjani kwa
upande wa timu ya kwanza ya Barcelona.
Alifungiwa
miezi minne baada ya kung’ata beki wa Italia kwenye Kombe la Dunia.
0 COMMENTS:
Post a Comment