November 1, 2014


Khalid Nzokwa, Bukoba
Kadi nyekundu aliyolambwa nahodha wa Yanga,
Nadir Haroub ‘Cannavaro’ imesababisha tafrani kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini hapa.


Cannavaro alipewa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Paul Ngwai ambaye alifunga bao la pekee katika mechi hiyo wakati Yanga ikilala kwa bao 1-0.
Mashabiki hao walicharuka na kutaka kumvamia mwamuzi, hali iliyosababisha askari polisi kuingia kusaidia.

Mashabiki hao walilalama kwamba mwamuzi hakuwa na sababu ya kutoa kadi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic