![]() |
| SCHUMACHER AKIWA NA MKEWE CORINNA, HAPA ILIKUWA NI MWAKA 2003. CHINI NI JUMBA LAO LA KIFAHARI. |
Mke wa mwendesha magari ya langalanga maarufu
kama Formula 1, Michael Schumacher amekuwa akitumia dola 100,000 (zaidi ya
milioni 170) kila wiki.
Corinna
amekuwa akitumia fedha hizo kwa ajili ya matibabu ya mumewe.
Schumacher alipata ajali ya uanguka kwenye jiwe
na kujigonga wakati akiteleza kwenye barafu.
Amekuwa mahututi kwa zaidi ya miezi sasa.
Timu ya madaktari inayomtibu imekuwa ikifanya
kazi yake kwenye moja ya majumba yake ya kifahari.








0 COMMENTS:
Post a Comment